Hebu wazia;
wewe ni mpiga picha umebahatika kuokota milioni 200 baada ya majambaz kukimbizwa na polisi na kuzidondosha. Ukakimbilia kijijini kwenu na kuwapa wazazi wako mil 5 tu, zingine ukatafuta sehem ili uzifiche. Kwa bahat ukaona mti mkubwa na kuzifukia chin, ili usisahau ukaamua kuenda mjini kusafisha picha ,, ulipo isafisha ile picha unaona juu ya mti kuna mtu anatabasamu..................
utafanya je???
hebu vuta picha inakutokea hii...