Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

Hebu tujikumbushe kidogo elimu ya mgombea urais wa CCM

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala Tanzania?
Hivi mnajua kuwa hata kidato cha nne hakufaulu?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.

Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

View attachment 3444855
Africa is a vice versa continent,aliyesoma sana ndiye anakuwa wa hovyo zaidi ya yule mwenye elimu ya diploma,
NOTE THIS!
 
Back
Top Bottom