mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 885
Habari GTs wote! Awali ya yote nipende kushare na nyie utata ambao nimeshindwa kufikia mwafaka mimi binafsi. Hii ni kutoka normal life we encounter every day.
Tukio lenyewe lilikuwa hivi, jana nilienda kuuza dhahabu sokoni, nilikuwa nimetenga makundi mawili, let call mzigo x na mzigo y. Mzigo x ulikuwa ni gram 23 ambao baada ya kuyeyusha ulisoma 64℅ purity. Mzigo y ambao ulikuwa 42gram ulisoma 85% purity. Swali ambalo najiuliza ingetokea nikachanganya mzigo ndiyo niyeyushe, inamaana ningekuwa na jumla ya 65gram.
Swali je, purity ingesoma ngapi from mathematical calculation? Hii formula ipo? Na kama haipo can we derive it?