Hebu tazama haya maoni katika picha

butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,636
7,940
Huyu ni kipanya ma Baba yake wanatoa mtazamo wao kuhusu kurusha bunge live.
 
Attachments

  • bunge.jpg
    bunge.jpg
    16.8 KB · Views: 102
Kupitia live bunge, tuliweza kupembua pumba na mchele. Kutokana na pumba kuwa nyingi, wengi tulianza kuziondoa majimboni mwetu. Sasa wenyewe wamestuka, wameogopa pumba zitakwisha majimboni na kubakia mchele peke yake.
 
Kw

Kweli Mkuu somtym bunge live ilipunguza pumba kama Wenje,Vincent nyerere,Shbuda, na mkifosi lirudi live kuna pumba kama Mbowe ,lema n.kzitakwisha pia
 
Kw

Kweli Mkuu somtym bunge live ilipunguza pumba kama Wenje,Vincent nyerere,Shbuda, na mkifosi lirudi live kuna pumba kama Mbowe ,lema
n.kzitakwisha pia
Kabisa mkuu,
Kilango, Wassira, Azzan, Sendeka, na wengine zaidi ya thelathini.
 
Kw

Kweli Mkuu somtym bunge live ilipunguza pumba kama Wenje,Vincent nyerere,Shbuda, na mkifosi lirudi live kuna pumba kama Mbowe ,lema n.kzitakwisha pia
Hili litawachinja wote!! Koz itakuwa hasara kwa wananchi!!
 
Back
Top Bottom