Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
wengine wanava bira kujua mana wengine wanava kwamana kubwa san kujua man nicheck im box
Nimekua nikiona watu wanavaa ''PETE zaidi ya moja VIDOLE vya mikononi na baadhi VYA MIGUUNI'' wengine huvaa hata mbilimbili...mimi nilidhani kila pete ina inamaanisha ina mtu wake....nielimisheni tafahali....
ni ushetani tuu umewakolea kwa kusafishwa njia zao zote mbili vipi na wewe unataka?Nimekua nikiona watu wanavaa ''PETE zaidi ya moja VIDOLE vya mikononi na baadhi VYA MIGUUNI'' wengine huvaa hata mbilimbili...mimi nilidhani kila pete ina inamaanisha ina mtu wake....nielimisheni tafahali....
wengine wanava bira kujua mana wengine wanava kwamana kubwa san kujua man nicheck im box
Asili ya kuvaa pete zote ni ushetani hakuna pete ya ndoa kwa maana ndoa ni ya moyoni.Unaulizia zipi? Aana kuna za ndoa
Kuna yale makubwa hasa wanaume wanapenda hizo za kishetani na zinakuwa na masharti ya waganga bt wapo wamaovaa kwa ajili ya urembo tu