ushamfunua kipochi manyoya?
Ntakupiga makofi, ndo msaada naouona.
Mwezi wa pili huu balaa,kila mtu kachuniwa,hanitext,hanical,kulikoni?..rekebishen mahusiano yenu,msije lia tarehe 14.Mpigie,mtext maradufu..
Mwezi wa pili huu balaa,kila mtu kachuniwa,hanitext,hanical,kulikoni?..rekebishen mahusiano yenu,msije lia tarehe 14.Mpigie,mtext maradufu..
sasa unipige makofi kisa nn?
Kisa auko serious!
Nami ntakuongezea makonde...
hapana mkuu!! Ila ndo npo kwenye process coz tupo mbal kidogo
ushamfunua kipochi manyoya?[/QUOTE]
hahahaaa nimependa hiyo nomino
hahaaa lol kipochi manyoya