Hebu kila mtu ajiulize

yaani kuna vitu unaona ni vidogo kwa mpenzi ila mwenzangu ukiona alert tu shtuka1 i was there too! mtu anafanya hivi unaona hapana he is mine this means nothing! weeee mmmh !
Halafu nikakuta pia amejibu dahhh uchungu wake hauelezeki!
 
Mimi sijawahi na sitaki pressure. Marufuku mke wangu kupokea au kuperuz simu yangu. If she does so, it will be at her own risk!
 
Mimi sijawahi na sitaki pressure. Marufuku mke wangu kupokea au kuperuz simu yangu. If she does so, it will be at her own risk!

Kwa maana hiyo unamkataza, kwa hiyo una mambo yako ya siri,
yy anatakiwa mwenyewe kwa ufahamu wake bila ya kushawishiwa na mtu asishobokee simu yako lkn c kwa mkwara km huo, umebugi meeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…