Hebu jionee mwenyewe

Huyo lazima atakuwa ni ticha aliye kwenye mgomo. Mgomo wa maticha ni noumaaaaaa!
 
Hapa patakuwa pameandikwa na Phillipo Mulugo,Mwalimu na Mmiliki wa Highland Secondary School Mbeya...
 
Kuna kiingereza Na kiingeredha..!!
 
Dah, mkuu?!..hii ilikuwa '2009 , hawa watoto wako darasa la ngapi saivi..huko waliko wanaendeleza kiingereza cha swali(QUIESTIONS) namba 2,3 na 4?
 
hata hivo naona kama amejitahidi,, maana kama hakuna mtaala, hakuna andalio la kufundishia,, hakuna mazingira mazuri ya motisha,, hahahh mwalimu akajitoa akafundisha kwa elimu yake ya brush alopata kwa mazingira magumu, akiwa anafikiria amalize kufundisha saa ngapi akafanye angalau kakibarua au kazi ya bodaboda,, unadhan pataeleweka apo?
yote tisha nimesoma trend moja inasema kwamba matokeo ya darasa la saba ni mabaya kuliko wakati mwingine wowote katika muongo moja uliopita hivo sishangai,,, poleni saana wanenu,, mnaosoma sasa,,, inshallal Mungu atawajalia mtafika japo kwa mazingira magumu hahah
 
mgomo wa maticha au ndio ufahamu duni wa lugha?
 
Huyo lazima atakuwa ni ticha aliye kwenye mgomo. Mgomo wa maticha ni noumaaaaaa!

Yaani ni balaa tupu, kama huyu: Mwalimu alikua anamuuliza mwanafunzi wake
Mwl: which crops do we export to europe?
Mwanafunzi: Coffee
Mwl:Good, how many are they?
Mwanafunzi: two type
Mwal:Excellent, which are they?
Mwanafunzi: Coffee Annan and Coffee Olomide
Mwl:safi kabisa! Nakuacha hivyo hivyo mpaka waniongezee mshahara.
 
kimombo kigumu bandugu...lugha ya watu hiyo!!
 
Huyo lazima atakuwa ni ticha aliye kwenye mgomo. Mgomo wa maticha ni noumaaaaaa!

hapana. Huyo hajui structure tu. We imagine wale wajinga wenye unafuu ndo wanakuwa walimu, unategemea nini? Kumbuka english structure ilikuwa ngumu mpaka siye tulokuwa tunaonekana wazuri inatutoa jasho. Vilaza je?
 
duh my wonder and my afraid zea zea.zen iget veriveri sadness
 

Inasikitisha sana...haya ndo matokeo ya kuwapa vilaza kufundisha watoto. Ifike mahala tuambiane ukweli, waliofeli shule, kukimbilia ualimu si sawa. Tutaendelea kutengeza watoto mambumbumbu. Yesu aliwahi kusema," Inamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake". Ina maana kama uelewa wa mwanafunzi hauwezi kuzidi ule wa mwalimu wake, kwa kile ambacho anafundishwa na huyo mwalimu, unless apate elimu ya ziada kutoka kwenye source nyingine. Tunatakiwa kubadilisha mfumo, tuboreshe maslahi ya walimu. Watu walio na akili nzuri na waliofaulu vizuri wafundishe watotot wetu.

Naomba kuwasilisha.
 
ngoja niwe wa kwanza kukufungulia uwanja wa like!karibu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…