MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,836
- 881
Aya aya aya! ngoja niwape stori ilio nikanganya, iko hivi! leo ni siku ya sita toka tupate mpangaji kwenye nyumba yetu wako watano, mdada wa makamo na wavulana na wasichana wawili. basi huyo mdada kasafili juzi kawaacha wavulana na wasichana saresare, jana usiku wakati natoka kushuhudi madrid ikiua sociedad........................ nikapita kalibu na mlango wao kumbuka wamepanga chumba kimoja na wanalala wote. nikasikia sauti ya mvulana mmoja ikisema (kwa kuwa kadilia ki umri wav miaka-16_wasichana miaka-22) "hebu ishike imevimba" hili neno liliniacha hoi nikajiuliza hivi kama ni dada zao wako salama? nikaamua kwenda kulala niwaache tu wajinafasi wapendavyo, ila imeniuma nilikuwa na mpango wa kumtoke mmoja wao, yuko vizuri tu kishepu na weusi wa maji ya kunde halafu mfupi kidogo na kamzigo kajaliwa. ushauri wenu wakuu je niwachukulie kama kaka na dada, nifute mawazo mabaya juu yao au nighaili mazima? ahsanteni