Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Yesu. Halo Yohana ile pesa itume bac kwa M.pesa naona leo mtandao uko vizuri..
Yesu..Halo petro hivi mpaka saivi hujafika kanisani unafanyeje huko.
Yesu. Baada ya ibada kama kutakuwa na mwenye swali asisahau kunipigia kwenye namba yangu 07.... Na kwa maswali na mafunzo mengine tembelea katika ukurasa wangu wa fb
Endeleeni wakuu...