sasa madewa kama hutaki kumcheat mpenzi wako ukijua km ni mnene au ni mwembamba yani mmoja wapo ambaye ni tofauti na mwenzio ndio mtamu si itabidi uende kwa aliye mtamu? naamini kabisa hakuna ambaye hapendi kitu kizuri,
ushauri ni vizuri kutokujua jua vitu vingine vina ,adhara mengi, alf hebu kazana na shule ndio mkombozi wa maisha mdogo wangu si unaona wamewapunguzia kiasi cha ufauru jitahidi upige 1 sawa mdogo wangu