Hivi kijana Madewa huna mambo mengine ya kufanya mpaka umeamua kuconduct hiyo research,labda nikuulize kwa ufupi mwisho au faida ya hiyo resarh yako nini labda?au unafaidika nayo vipi?
Lengo ni kuujua ukweli,wala sina la zaidi...naamini ktk jukwaa hili,watu wanauzoefu tofauti,ambao ungeniwezesha kuujua ukweli pasipo mimi kujaribu!
Habarini wana Jamvi.
Baada ya salamu hiyo naomba mnitoe wasiwasi kama sio tamaa.
Jamani wanajukwaa,eti ni kweli kuwa wanawake wanene ni watamu kuliko wembamba...binafsi sina uzoefu na hawa wanene,jambo ambalo naona linazidi kunipa hamasa ya kujaribu wanene...je,kuna ladha tofauti au ni mawazo potofu?
Karibuni jamani tuambizane!

kweli vijana wa sasa ivi mnanishangaza sana,
sasa kweli Madewa, hili jambo nalo ni la kulileta Jukwaani kweli?
Enzi zetu, ulikuwa huitaji kuuliza, unaingia maabara wewe mwenyewe,
mwisho wa siku majibu unayapata wewe mwenyewe..........
kweli vijana mmepoteza mwelekeo....poleni
sasa madewa kama hutaki kumcheat mpenzi wako ukijua km ni mnene au ni mwembamba yani mmoja wapo ambaye ni tofauti na mwenzio ndio mtamu si itabidi uende kwa aliye mtamu? naamini kabisa hakuna ambaye hapendi kitu kizuri,Hahahahahaaaa...sipendi kumcheat mpenzi wangu ndo mana,nataka kuujua tu ukweli...