Hebu cheka na hii...

Hebu cheka na hii...

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
[h=5]Miaka michache ijayo IBADA zinaweza kuwa hivi;
Mchungaji; "Bwana asifiwe!
Waumini; Ameen!

Mchungaji; "Tuchukue Laptops, iPad, Tablets na Simu zetu tufungue Wakorintho 13:13!

Pia washeni Bluetooth ili mpokee Mahubiri kwa wanaotumia facebook, twitter, BBM mnaweza kunifuatilia huko!"

Baada ya muda kidogo mchungaji ; "Wapendwa sasa ni wakati wa sadaka, unaweza kumtolea Mungu kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Ezy Pesa na Airtel Money mbarikiwe sana wapendwa...[/h]
 
Mbona hii kitu ilishaanza kutumika kitambo, haya makanisa ya siku hizi wanayoingia na kalamu na note book, wenye nazo wanaingia na hayo Digital unayoyasema Mkuu.:A S shade:
 
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !

Near by Sumbawanga Road Tunduma Mbeya Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom