Nina bahati,nashuka tu ndo mama v naye anatoka kwenda church, kamlipa hela yake wa bajaj kaenda zake church, kanambia nikapate supu makirikiri afu nimuandalie maelezo ayakute tayari akitoka churchngoja nkupe mbinu... ila iwe siri yako!"!"
chukua cm yako fungua ringtone afu jidai unapokea... ongea kama ifuatavyo.... "mshkaji eeeh hivi ulisema safari hii tunamchuna ngozi mtu wa aina gani... mweupe, mweusi,mrefu au mfupi" afu unasubiri km 5sec ili kwamba mtu unaeongea nae akujibu.. akishakujibu... nawe una mjibu kwa kumpa sifa za yule mwendesha bajaji (fanya hivo ukiwa unakaribia home) tena unamwambia afu mtu mwenyewe ana bajaji tena bado mpya mpya.... NAKWAMBIA HAPO HAPO MWENYE BAJAJI ATAKUSHUSHA FASTAJEEEEER
Don't try it.........
Ungenistua nikuonyeshe zinapopatkana, uwenyeji nao unahusika mama
ambiance ww huna mke? mbona unapenda izo sehemu Baba VMie ndo nachukua bajaj hapa ambiance inipeleke home
Madame B Jamaa angekumbeleza na kulia kidogo unge mpa 0718Me mzima.
Karibu tulale.
Madame B Jamaa angekumbeleza na kulia kidogo unge mpa 0718
Ndio, ningeipokea kwa mikono yote, na ningeitumia ipasavyo! Habari za kwako?Ningempa,
ungekuwa wewe ungepokea?
Ndio, ningeipokea kwa mikono yote, na ningeitumia ipasavyo! Habari za kwako?
Umesahau, nyoooooka moja kwa moja.... Inapendeza Kama upo fresh! Poa, mtoto wetu mzimaNyooooo....
Habari yangu nzuri.
Umesahau, nyoooooka moja kwa moja.... Inapendeza Kama upo fresh! Poa, mtoto wetu mzima
Kilicho unganishwa na mtoto binadamu hawezi kukitenguaHapo kwenye Bold kwa kuwa umesikia hata aje akiomba game nitakubali ndo wajishaua kumsalimia mtoto?
Ushindwe na ulegee.
baba v ambiance ulienda kufanya nini? Si una mke wewe?
We charminglady raha tupate wote afu nilipe na hela juu!?? tena yeye ndo alifaidi zaidi, hapo ngumu kumesa, labda anipe na risiti kabisa ili kesho nika crame hiyo pesa ofisini,lakini kutoka mfukoni mwangu no way!!