wapi huko????
Umeniwahi miss
Ningekunong'oneza lakini cpajui hata,
mlima gani ??
Pale hospital
Hapo ni karibu na Njombe mjini unapokua unateremka mlima Khantwe anapafahamu vizuri
Mmmhh mpwa unamaanisha ule mlima wa kibena unaoanzia kibena hospitali? Hakunaga barafu mbona
Pale hospital
Aisee panafanana kweli...amini usiamini nlikuwa sijaona hii comment yako
mwehh sister pale kibena ndio pamefanana hivi ??
na umekubali pale chini ndio njia panda ya kwenda kwetu