Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Heaven Sent eti pm mlikuwa mnaongea nini na lipwid?samahani lkn!Hahahaa
haaaaaaaaaa mbavu zangu
Kicheko hiki si bure kuna kitu
Oyaaa hebu kuja pande hii nikurenge......
Heaven sent nashukuru kwa usikivu
Hahaha cute datty tulikuwa tunaelezekana tu jinsi ya kumention, cc na mambo mengine mengi tu ya jf
Tusubirie mimba???
hahahahah Heaven Sent shoga angu wa kindakindaki hatuambizani siku hizi lol
Hahahaha hapo hakuna ya kizuri kula na nduguyo. Hukawii kunitangaza lol
hahahaa siri ya watu wawili yakivunda nitakuwepo there 4 u lol
Hapana kwa kweli. Likivunda ndo itabaki kuwa siri yangu
Oyaaa hebu kuja pande hii nikurenge......
hahahah haya mficha maradhi