Heaven on earth jaman

hahaahaa! Afu nimekutafuta ujue kumbe umejificha huku! I mis u too jamani loh! Mm.. Ah limekataa kutoka!
umenitafutia wapi bana, leo umeamua kutokuja kwangu, sio vizuri, jioni upite please
 
babe ni nini,mbona uko busy sana hadi kuna watu hum ndani

wanaanza kunimendea!!!!!!!!!!!!!!!!!
yaani mwanamke wewe ninakupenda mpaka basi leo unaniita MENDE, mimi Mokoyo mimi nimekuwa mende. Siamini. Machozi yananitoka sina hamu,

wii, hapo mwisho nilimquote mumeo ila sijasema mimi kutoka moyoni, siunajua mumeo ni mpore??? Aliniambia niandike hivyo then nimpe adhabu Mokoyo.
Ebu ona mpaka una wifi hapa tena wifi yako mkorofi kama nini, anakufuatilia kila kona
Nifate tu my wiiii,

halafu kaka ako figganigga mbona siku hizi yuko busy
hapa una-prove jinsi ulivyokufa na kuzikwa na mapenzi ya huyu figganigga. Siamini
Ebu oneni walimwengu jinsi ninavyodhalilishwa. Leo nitatoa tamko rasmi kuhusiana na haya mahusiano. Mimi kidume nanyanyasika kiasi hiki> hapana
 

hahahaaa pole sana Mokoyo, usione vyaelea atii, waundaji wametulia tuli..!
 
Last edited by a moderator:

nimekuelewa baby ila huyu Mokoyo ananimemdea saaana,

kila la kheri
 
Last edited by a moderator:

hahaaa yaani kidume akilia kwa ajili yanguu mbona unanipa wakati mgumu Mokoyo wewe

ila nikiwaza nakuona unamwambia Munkari aje maeneo yanu hapa nna changu kweli
 
Last edited by a moderator:
hahaaa yaani kidume akilia kwa ajili yanguu mbona unanipa wakati mgumu Mokoyo wewe

ila nikiwaza nakuona unamwambia Munkari aje maeneo yanu hapa nna changu kweli

haahaa! Umeona eeh? Inabidi 2muweke kitimoto aweke wazi 2sijekutana mlangoni ikawa balaa! Mwite kabisaa akuje hapa!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa pole sana Mokoyo, usione vyaelea atii, waundaji wametulia tuli..!
nimeona kwakweeli

nimekuelewa baby ila huyu Mokoyo ananimemdea saaana,

kila la kheri
haya bana,
hahaaa yaani kidume akilia kwa ajili yanguu mbona unanipa wakati mgumu Mokoyo wewe

ila nikiwaza nakuona unamwambia Munkari aje maeneo yanu hapa nna changu kweli
machozi hayana kwao bana

kupendwa raha aisee hasa kupendwa na babe figganigga
Mamaaaaa weeeee

haahaa! Umeona eeh? Inabidi 2muweke kitimoto aweke wazi 2sijekutana mlangoni ikawa balaa! Mwite kabisaa akuje hapa!
Munkari wala usijali wangu, hakuna kugongana
mh! Yani maskani yako yote nimepita cjakuona ! Mh nimethutha hata thikuji!
Please have a courtesy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…