Heaven on Earth baby uko wapi?

Nipo wapenzi wangu.
Ila jamani sijui naonaje? Nashindwa kabisa kurudi ktk enzi zetu zile...
Nimekuwa mzito sana wa kuchangia,ama kweli nyakati zikipita hazijirudii.

Kabisa, them old times. ..tumebaki kuzicherish tu, inabidi tuendane na nyakati hizi mpya ili tusipate tabu sana
 
Nipo wapenzi wangu.
Ila jamani sijui naonaje? Nashindwa kabisa kurudi ktk enzi zetu zile...
Nimekuwa mzito sana wa kuchangia,ama kweli nyakati zikipita hazijirudii.
Waooo nifah !! Umerudii kweli umepotea mama last seen mwaka juz kwelii huutendei hak jf .
 
Hongera sana kimya kizito kumbe kina mshindo mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…