S Shushushu New Member Joined Oct 27, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Jul 2, 2013 #1 Rural Medical Aid Rural Medical officer Medical Officer Bw/Bi Afya Au mwenye sifa zinazolingana hata akiwa mstaafu. KAZI YAKE:- Kusimamia masuala yote usalama katika site ya ujenzi Kuelimisha wafanyakazi kuhusu masuala ya usalama ili kuepuka ajali zisizo za lazima Kutoa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi Kumpeleka hospitali kubwa kwa ajali kubwa ambazo inabidi kufanya hivyo Kutayarisha ripoti ya kila mwezi kuhusu masuala ya usalama Kuhakikisha wafanyakazi wote wanavaa vifaa vya usalama wakiwa kazini Kuhakikisha wageni wote wanaoingia site wanapewa vifaa vya usalama kabla ya kuingia eneo la ujenzi. KITUO CHA KAZI:- Mkoa wa Tanga MSHAHARA:- Maelewano MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:- Th. 4/07/2013 saa 10.00 jioni VIAMBATANISHO:- Cheti cha elimu yake CV Mshahara unaotegemea. Tuma maombi kupitia twavwanecontractor@yahoo.com na tajirika@gmail.com. Maombi yote yatajibiwa.
Rural Medical Aid Rural Medical officer Medical Officer Bw/Bi Afya Au mwenye sifa zinazolingana hata akiwa mstaafu. KAZI YAKE:- Kusimamia masuala yote usalama katika site ya ujenzi Kuelimisha wafanyakazi kuhusu masuala ya usalama ili kuepuka ajali zisizo za lazima Kutoa huduma ya kwanza kwa wafanyakazi Kumpeleka hospitali kubwa kwa ajali kubwa ambazo inabidi kufanya hivyo Kutayarisha ripoti ya kila mwezi kuhusu masuala ya usalama Kuhakikisha wafanyakazi wote wanavaa vifaa vya usalama wakiwa kazini Kuhakikisha wageni wote wanaoingia site wanapewa vifaa vya usalama kabla ya kuingia eneo la ujenzi. KITUO CHA KAZI:- Mkoa wa Tanga MSHAHARA:- Maelewano MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:- Th. 4/07/2013 saa 10.00 jioni VIAMBATANISHO:- Cheti cha elimu yake CV Mshahara unaotegemea. Tuma maombi kupitia twavwanecontractor@yahoo.com na tajirika@gmail.com. Maombi yote yatajibiwa.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Jul 2, 2013 #2 mimi nikishaona email za yahoo na gmail kwenye matangazo ya kazi huwa sijui naoneje