Health laboratory assitant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Health laboratory assitant

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kaitaba, Jul 15, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anahitajika Health Laboratory Assitant, aliyesomea private college atapewa upendeleo.
   
  Last edited: Jul 15, 2009
 2. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaitabu ujumbe wako ni too blunt haielezi unaomba kazi hii wapi and other remunerations/ responsibilities etc
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Samahani sana, mimi siombi kazi ila anahitajika Laboratory Assistant, awe amesomea kazi hii, na awe tayari kuhamia eneo la kazi, chumba atatafutiwa atalipiwa miezi 3 ya mwanzo, asiwe na familia.

  Atakaye kuwa tayari anitumie private massage nimpe maelekezo zaidi, na hapo hapo anahitajika Nurse Assistant haraka, Na yeye taratibu ni zile zile kama za Lab. Assit.
   
 4. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  .......................................................................................
   
 5. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Fundi maabara ndiye anayehitajika pamoja na muuguzi.
   
 6. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #6
  Sep 1, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Health laboratory assitant

  Can you please be a little bit specific on the location, how much, how soon, contacts, what are the qualifications, experience, etc

  thanks,
  B.
   
 7. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Eneo la kazi ni mbagala, sifa ni yeyote aliyesomea maabara za binadamu, ila inatakiwa awe tayari kuhamia mbagala, maana yake ni kwamba asiwe na familia,

  hii ni maabara binafsi (Private Laboratory)

  Mawasiliano nasita kuyatoa hapa, kuepuka usumbufu, anayehitaji aniandikie private massage humu au bruhindatz@yahoo.com
   
Loading...