He steal our money without shame

Le Mutuz anasema tumpe siku mbili atakuja na ufafanuzi wa trillion 1.5.
Huu ni wakati wa mavuno, Musiba amepata, Polepole sasa Le Mutuz
Lakini kulisafisha jiwe ni kazi
Le mutuz ana akili ya social media tu, mengine awaachie wasomi na wenye maarifa ya mambo ya msingi
 
Well, you've tried to, but in a total broken kiingereza. Better go back to english evening class to polish your tongue!
How does English relate with the theft our Tsh 1.5 Trillions? the thief who stole our money is so poor in English,that he even fears to fly overseas.
Bring back our money you children of the Bastard.
 
Chukua hatua sio unaililia tu ili iweje
 
Umenena vema japo kiingereza chako kama chake.....ila wewe hujaogopa kwenda Ulaya kama sijakosea upo Kuwait kule kwa Sadam. Huyu umzungumziaye namba ya tatu mzuka ni muhimu kwakeli 264.
 
Kwani unalazimishwa kuandika hata kama hukijui? Kwani huyu jamaa hajui Kiswahili mpaka atuandikie Kiingereza cha MABUDIKWA?

Kuandika ni njia mojawapo ya kujifunza. Hata waingerza wenyewe wanakosea kuandika kama wewe wakati mwingine unavyokosea kuandika kiswahili
 
Unawabana watu na kujidai mzaleeendo kumbe Hanna kiyu. Weka vijimiradi vya kuzuga ili kupitia miradi hiyo zipatikane pesa za kampeni na kujineemesha wachache.
Sikuhizi pesa za kampeni zinaanza kukusanywa mapema vile wafadhili wrote wamegeuzwa mashetani tutashuhudia mengi na huyu CAG gari lake liwekewe camera ili wasiojulikana waumbuke kweupe shubatreeees
 
Huenda CAG akashitakiwa kwa uchochezi kwani kwa hili naona wananchiwa JF wameshikwa na taharuki na yanayoandikwa yanatuweka mbali na serikali yetu tukufu. Tuombe polisi wawe wamelala au sivyo huenda CAG akawa na wakati mgumu.

Na Muheshimiwa Kiongozi Mkuu wa Chama chetu kile nae akae chonjo kwani hili kalikomalia. Ukifikiria sana unachanganyikiwa kwani unajiuliza mchochezi ni yupi-ni yule alietenda au ni yule anae tuamsha tulio lala? Na wale wanao tetea wasichokijua nao sio wachochezi?
 
Lugha uliyoandika tu ina akisi uwezo wako wa akili. Sidhani hata kama ukielimishwa kwa hoja utaelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…