He is dangerously stupid

Ndo zake.

Mara apambane na dada poa.

Mara sijui aanzishe vita na wanaume wanaochepuka.

Jamaa hovyo kabisa.
Kupima tezi dume wanaume wote Dar
Walimu kupanda daladala bure
Kuomdoa shisha jijini
Kumaliza madawa ya kulevya Dar
Kuwatimua watu wasifuata maelekezo yake waondoke Dar na kandambili zao
Ombaomba kuwa historia Dar
Kusajili wanandoa wote Dar
Kudeal na wanaume waliotelekeza wanawake...
Kusaidia wajane wote mjini....

Mamamamae wallah.... hizi ndo kazi na vipaumbele vya gavana wetu kutuletea maendeleo wana Dar...
 
Ulipotaja wasukuma kuwahusianisha na mtu mmoja nimekuona na wewe ni kama yeye. Mapungufu ya mtu mmoja hayapaswi kuwa mapungufu ya kabila zima.
.
Kwahiyo unabishana na wenye kabila lao au?.
 
If you have ever worked for an arrogant boss, you know they don’t listen, they do not change their mind when they are wrong, and they are often disrespectful to those around them.

You have said it all my dear. In this case I even suspect the boss is not just arrogant but may also have many other personal defiencies which he is working hard to conceal.
 
Unajua Magufuli kashadokeza mara nyingi tu sasa kuwa anaamini mambo ya uchawi.

Kwa hiyo usemacho si ajabu hakiko mbali sana na ukweli.
..hata alipouona ule moshi uliotokea juzi juzi alipokuwa akihutubia wananchi ruangwa alisema "naona wazee wa hapa wameanza kufanya mambo yao"
 
Well said mkuu, wasi wasi wangu ni, je, mlengwa atakuelewa?????? Shida iko hapo!
 
'There seems to be a strange propinquity between him and his boss'.

Mkuu jibu litakuwa hiyohiyo propinkwite,sijui hata ina maana gani.
 
Nafahamu Hasira za "Mke Mwenza"? Lazima amlinde mtu wake!

Nilichoandika hapo juu hakihusiani na mada hii!
 
Mtani wangu Nyani Ngabu, kwa ung'eng'e huo, humtendei haki mlengwa. Hatakusikia, kukusoma wala kukuelewa. Lakini, watani wangu Wasukuma mnakwama wapi!?
How do you link the man's bad behaviours with his tribe!? Okay, that is your opinion I have to respect it!
But we have been hearing same silly deeds from many other president appointees, take for instance RCs for Mbeya, Iringa, Manyara not forgetting DCs.
I stand to be corrected, but this has nothing to do with Wasukuma. It is the leadership we chose ourselves as Tanzanians. If they are stupid, it reflects how stupid are we as a nation, regardless of our tribes.
 
Hili swali liende kwa aliemueka na kumlinda.
 
Ulipotaja wasukuma kuwahusianisha na mtu mmoja nimekuona na wewe ni kama yeye. Mapungufu ya mtu mmoja hayapaswi kuwa mapungufu ya kabila zima.
.
Wew hauna tofaut na Bashite. Wenzako wanataniana tayar umeishakurupuka.Huu ni undezi wa kisukuma kweli. Nyambafu
 
Tatizo umande hawezi kuelewa hiyo lugha hata kama atarudia mara milioni
 
And Magufuli is his enabler.

They must be birds of a feather for Magufuli to not see or turn a blind eye to that nonsense.
 
Mtani wangu Nyani Ngabu, kwa ung'eng'e huo, humtendei haki mlengwa. Hatakusikia, kukusoma wala kukuelewa. Lakini, watani wangu Wasukuma mnakwama wapi!?
This has nothing to do with the Sukumas and everything to do with some country bumpkins.

The Sukuma have produced people with illustrious careers, such as David Kidaha Makwaia, Paul Bomani, Justice Francis Nyalali, Andrew Shija, just to name a few.

Stop tribalism.
 
Mkuu, nilimtania tu mletamada na watani wangu wote wasukuma kwa ujumla. Inconveniences caused are highly regretted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…