new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,725
My friend, hakuna fluid ya transmission ina dumu life time ya gari.. hizi fluid with time zina oxidize na kupoteza properties zake zinazoifanya ifanye kazi yake ndan ya transmission system. Hata nje wengi wamelia kutokana na hizi misleading information za lifetime transmission fluid/sealed transmission fluid.Sio mimi , na wala sijawahi nunua ziro km , huko first world wanayanunua na kuyatumia , nimeyashuhudia hapa kwetu yakija kama mitumba , mengine hadi km 2000000 plus , gearbox oil plug haijawai guswa na chuma ipo intact..
Nimeshuhudia hizo sealed transimission gearbox zikija mitumba na malaki ya kilometers , hasa za japan , na zipo intact, tatizo lipo kwa mafundi wa bongo, hawasomi wala kujifunza wao ni kukariri tu,My friend, hakuna fluid ya transmission ina dumu life time ya gari.. hizi fluid with time zina oxidize na kupoteza properties zake zinazoifanya ifanye kazi yake ndan ya transmission system. Hata nje wengi wamelia kutokana na hizi misleading information za lifetime transmission fluid/sealed transmission fluid.
Ukicheck hata hapa bongo, ukiwa na gari yenye sealed transmission system (yaan haina deep stick, inawasumbua mafundi namna ya kupima fluid level na namna kujaza hiyo fluid.
Dah. Mirathi mara tatu.Lifetime labda kwa Europe na Japan ila sidhani kama inatuhusu wabongo tunakaa na gari hadi linaingia kwenye mirathi mara tatu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
So lifetime kwa wenzetu they mean 150,000 km or three years whichever comes first? If this is a case sawa mana kwa 100,000 miles transmission fluid inakua bado ipo ina uhai... beyond that una run risk ya premature failure because of oxidized transmission fluid...na wakiwa wanauza haya magari ni vizuri ucheki zile auction details at least utakuta service history ya gari ambayo itakupa picha ya gari ulio nunua imekua serviced to what extent.. including transmission fluid changing..Nimeshuhudia hizo sealed transimission gearbox zikija mitumba na malaki ya kilometers , hasa za japan , na zipo intact, tatizo lipo kwa mafundi wa bongo, hawasomi wala kujifunza wao ni kukariri tu,
Lifebtime warraty kwa ulaya , maana yake ni km 150,000 au miaka mitatu , whichever comes first. Sealed transimission zinapita zaidi ya hapo.
Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.So lifetime kwa wenzetu they mean 150,000 km or three years whichever comes first? If this is a case sawa mana kwa 100,000 miles transmission fluid inakua bado ipo ina uhai... beyond that una run risk ya premature failure because of oxidized transmission fluid...na wakiwa wanauza haya magari ni vizuri ucheki zile auction details at least utakuta service history ya gari ambayo itakupa picha ya gari ulio nunua imekua serviced to what extent.. including transmission fluid changing..
Ila mtu akinunua gari kwa hawa car dealers wa TZ ambao hurudisha km nyuma they never give out auction details/documents kutoka huko gari ilipotoka hivo unakosa service history ya gari.
HaisomekiMtoa mada nafikiri nimejibu swali lako kikamilifu nyongeza hiyapo tena.View attachment 2343181
Labda nikutumie link mkuu.
asante sana Mkuu. Nilielekezwa tayari nilinunua hii WS AT FLUIDCrown hizi za 2004-2005 wame recommend WS Yani World standard ATF Mkuu.View attachment 2343171
Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluidCrown haina dipstick Baba kwenye gearbox.
Mwenyewe mara ya kwanza ilinitoa ushamba mkuu lakini nilikuwa tayari kujifunza kila kitu siku hizi kipo wazi.Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluid
Safi mkuu tutunze hizi machine zinatusaidia Sana aisee.asante sana Mkuu. Nilielekezwa tayari nilinunua hii WS AT FLUID
Inategemea na mwaka uliotengenezwa gari.Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.
Principle nzuri ya kununua used ni highillage cars or truck , provided they look immacculate, high millage motor maana yake ni kuwa halikumsumbua first owner , lina genuine millage , na quite possibly lilikuwa well cared with genuine parts.
Ukiona gari la km chache lipo sokoni, mara nyingi km zinakuwa tempered au lilikuwa lemon kwa first owner , hasa watu wa german dogs huwa wanaingia sana mkenge huu , unaikuta bmw kali km chache bei rahisi, kumbe linasumbua electronic air auspepsion cards , matengenezo dola elfu 6 , gari umenunua dola elfu 3
Imeandikwa pale kwenye koki yake mkuu, shida ipo kwenye kujua level yake.....Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluid
Kaka nataka magurudumu kama yapoView attachment 2343184
Tupigie kwa ushauri zaidi na spare original kwa gari yako. Pia tuna oil zote original.
Unabadili for how long mkuuasante sana Mkuu. Nilielekezwa tayari nilinunua hii WS AT FLUID
Nafikiri ukitafuta specification kwenye mtandao utapata. Kwanza ni kujua hizo gari zinatumia gearbox gani( nafikiri unahitaji kwa ajili ya gearbox ).Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended?
Asante
Maana yake ni miaka 5 hadi 7,wakichukulia baada ya hapo gari halifai kwa matumizi.Gari nyingi latest zinakuja lifetime warranty gearbox oil , sijajua kwa cvt gearbox au hiyo crown
Za asubuhi kaka. Naomba nipigie kwa mahitaji yako yote ya spea za magari. 0713276892Kaka nataka magurudumu kama yapo
Sawa kabisa , do not buy low millage car or truck , un less una well established history of it.
Principle nzuri ya kununua used ni highillage cars or truck , provided they look immacculate, high millage motor maana yake ni kuwa halikumsumbua first owner , lina genuine millage , na quite possibly lilikuwa well cared with genuine parts.
Ukiona gari la km chache lipo sokoni, mara nyingi km zinakuwa tempered au lilikuwa lemon kwa first owner , hasa watu wa german dogs huwa wanaingia sana mkenge huu , unaikuta bmw kali km chache bei rahisi, kumbe linasumbua electronic air auspepsion cards , matengenezo dola elfu 6 , gari umenunua dola elfu 3