Pangah2011 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 260 Reaction score 218 Dec 6, 2015 #1 Mfano kwenye king'amuzi unatumia cable ya hdmi na laptop pia ina option ya hiyo cable je naweza TV au kuna matumizi tofauti ya hiyo sehemu kwenye laptop? Mwenye kujua anijuze
Mfano kwenye king'amuzi unatumia cable ya hdmi na laptop pia ina option ya hiyo cable je naweza TV au kuna matumizi tofauti ya hiyo sehemu kwenye laptop? Mwenye kujua anijuze
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,361 Dec 6, 2015 #2 laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo. unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi
laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo. unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi
Pangah2011 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 260 Reaction score 218 Dec 6, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo. unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi Click to expand... Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose. Thanks indeed 👍 I think inabidi niwe na TV tuner
Chief-Mkwawa said: laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo. unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi Click to expand... Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose. Thanks indeed 👍 I think inabidi niwe na TV tuner
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,253 Reaction score 44,361 Dec 6, 2015 #4 Pangah2011 said: Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose. Thanks indeed 👍 I think inabidi niwe na TV tuner Click to expand... zipo laptop ambazo zina hdmi in inayokubali kufanya display yake kama monitor/tv ila ni chache sana jaribu tu bahati yako ila usiweke matumaini
Pangah2011 said: Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose. Thanks indeed 👍 I think inabidi niwe na TV tuner Click to expand... zipo laptop ambazo zina hdmi in inayokubali kufanya display yake kama monitor/tv ila ni chache sana jaribu tu bahati yako ila usiweke matumaini