mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,975 Jan 20, 2014 #1 Wakuu, Nasikia kitu hiyo ukiwa nayo huna haja ya kuwa hata na DSTV.Nasikia inakamata machannel kibao na inatumia vocha ya sh 5000 kwa mwezi.Nimeambiwa bei yake ni Tsh 300,000,kazi yake ni kama kingamuzi cha kawaida tu.
Wakuu, Nasikia kitu hiyo ukiwa nayo huna haja ya kuwa hata na DSTV.Nasikia inakamata machannel kibao na inatumia vocha ya sh 5000 kwa mwezi.Nimeambiwa bei yake ni Tsh 300,000,kazi yake ni kama kingamuzi cha kawaida tu.
Aquatic JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 716 Reaction score 270 Jan 20, 2014 #2 Fafanua vizuri ukiwa nayo kutoka wapi na inafanya kazi vp?