Kesho bishanga na Mamndenyi wanadamkia angaza kucheki hechaivii,wamechoka kuoga huku wamejifunika mwavuli.
Shukrani za pekee kwa mshauri nasaa na mwenyekiti wa cc anayetambuliwa ofisi ya msajili wa wenyeviti ndugu Baba V ( jaribio la kumpindua limefeli Nivea UNDENIABLE na genge lenu la maharamia mnatafutwa na kova,kasema jisalimisheni la sivyo....).
rafiki hii ntaisimamia mwenyewe, nitahakikisha hakuna talaka
ha haaa, wivu sina ila roho inauma saana..... lol!Bishanga hiyo love usiiseme kwa kila mtu jamani.
rafiki hii ntaisimamia mwenyewe, nitahakikisha hakuna talaka
ha haaa, wivu sina ila roho inauma saana..... lol!
hata mimi rafiki?Fixed Point saa hivi sitaki kabisa mashonga
mie kimpango wangu na Bishanga wangu
nyie mezeni mate tu.
hata mimi rafiki?Fixed Point saa hivi sitaki kabisa mashonga
mie kimpango wangu na Bishanga wangu
nyie mezeni mate tu.
hayo maneno nilikuwa nakusemea wewe....mbona mnalo jamani
mtakufaje na vijiba ya roho,
haaaa
naungana na Nyani Ngabu
yuu aar positive Bishanga Mamndenyi nna duka la diapers aina zote na kwa watu wa rika lote na saizi zote na kilo zozote. Wewe tuu!