Naam
Ilikuwa awamu ya tatu ambapo Hayati John Magufuli aliponshauri Rais wa wakati uo Hayati Benjamini Mkapa iwe inatengwa Billion 1 kila makusanyo ya mwezi ili iweze kutumika katika ujenzi wa barabara kuliko kusuburi wahisani ambao walikuwa wanachelesha miradi.
Mzee Mkapa alilipitisha ilikubali ilo na akalipitisha kwa mabavu japo lilipingwa kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri ila alimuamuru waziri wa fedha kutenga bilion 1 kila makusanyo ya mwezi.
Na hatimae Tanroads ikaanzishwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app