Hayati Magufuli alikosea sana kulitetea taifa. Bado, proverbs. 19:29

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Kuna watu wanadharau sana kwenye taifa hili, wanadharau sana mambo ya MUNGU, hofu ya Mungu imetoweka kabisa, badala yake wanafanyia mzaha tu mambo matukufu, imefikia hatua hadi comedians, wasanii n.k wanatumia jina la YESU katika jokes zao kutafuta pesa.

Si viongozi , si wakuu wa dini si raia wote sasa ni taifa la mizaha tu , hakuna hofu ya MUNGU tena yaani mtu akifika juu haoni tena kama yupo aliye juu yake (MUNGU), anafanyia wenzie ana yotaka tu, iwe ni mchungaji sijui ama mwanasiasa wote wana abuse watu wao.

Na raia nao hivyo hivyo vijana hawaelewi wanaongea lugha za sodoma na ghomora kila kona ,kila media mambo ni hayo hayo. Wanaimba hayo, wanacheza hayo , wanavaa hayo na wanafanya hayo. Mpaka makanisani sasa mpaka mashuleni sasa, hali ni tete , hali inatisha . Watu ni waovu balaa , jichanganye kidogo tu unafanyiwe tukio zito, kama vile watu wanakiu ya damu mtaani.

Mbaya zaidi wanareplace morals za milele, za maadili ya kiimani, kwa moral zao za freemason wanazofundishana kwenye social media, kwa njia mbalimbali, eti wanadanganyana ni mambo yaliyopitwa na wakati! Mambo ya Mungu huyu wa milele yanaweza kupitwa na wakati? Utajifanya wewe ni modern lakini ukienda huko utamkuta anakusubiri, atakuuliza mbona umebadirika una makaalio makubwa kuliko uliyopewa (mfano), kwa mfano:

INTERVIEW YA UTANI HII
Host: ukipata mtu akikuambia
anataka kukuoa utakasirika.

Mdada: sitakasirika, si nnamkatalia tu, anataka kunioa yaani anataka kuniharibia maisha.

Sasa hii inaonekana kama kiburidisho lakini kwa ndani sana ndio ile roho ya kudanga ya wakina dada waliyofundiahana kwenye media inazidi kujiboresha. Roho hiyo ya udangaji inaharibu maadili ya wadada kamwe hawataweza kuwa wake wema baadae na wale walio ndani ya ndoa takatifu nao wanazinajisi ndoa zao. Ukiambiwa kuwa marekani walikuwa taifa la Kikristo lakini sasa hivi ukienda hata supermarket ni t-shirt imeandikwa JESUS huruhusiwi kupita mlangoni, huwezi kuamini.

Na ni taifa lililokuwa la kwanza kuhalalisha ndoa za jinsia moja nchi nzima. Mambo yalianza hukuhuku ambako na sisi tunapitia sasa hivi. Watu wanasifia kula tigo, mtu akisikia na yeye akipata demu anataka ajaribu ipo vipi raha hiyo.

Watu wanauama kama mbuzi , sio kwenye mahusiano sio kwenye kafara za freemason barabarani. Ni kawaida sasa tunasikia gari imeua familia nzima, halafu watu wanachukulia poa tu.

Magufuli alikosea kuwategea , ilipasea korona itandike hapa walau watu wangemjua Mungu vizuri. Maana hii mizaha na mafundisho ya dhambi yanayoendelea kwenye media , ni dalili ya ujinga uliokomaa , kudharau dharau ,
PROVERBS. 1:7
PROVERBS. 1:22
PROVERBS. 19::9
PROVERBS. 10: 23

TIZAMA HII NA KAMA WW NI MWANADAMU UNAYEMUHESHIMU MUNGU NA MWENYE UZALENDO KWA NCHI YAKO MSAMBAZIE LINK WALLAU MTU MMOJA TU, MUNGU ANAKUONA.



 
Tumekosa Imani na nyinyi kwakua jina la Mungu kwenu limekua biashara.
Umeona unaitwa kanisani hapo, jamaa anaongea watu watubu taifa zima , ana kanisa gani la kuchukua taifa zima wakasali kwake?

Halafu unatakiwa uangalie content vizuri, kama una dhamiri ya kibinadamu hofu ya Mungu utaelewa maana yake ni nini lakini kama ndio ule uzao wa nyoka,

wale ambao babu na babu zenu walizaliwaga kutoka kwenye vibuyu vya waganga wa kienyeji, nyie ni magugu, hii itakuwa haiwahusu msipoteze wenzenu hapa,
 
Ubarikiwe mtumishi.

KAZI ya WATCHMAN ni kupress Burton akiona hatari Ili awalindao watafute kujiokoa.

Ujumbe umefika,

Cha kushangaza Kuna watu watasubiri yatokee Badala ya kuchukua hatua na kutubu na kumrudia Mungu.

Hadi Watoto wachanga wamekufa Turkey sababu ya wazazi kupuuza ujumbe wa Mungu.

Tusubiri.
 
Kosa lake hakumpa Mungu utukufu,alivuka mipaka
Magufuli ndo RAIS pekee akiyekiri hadharani juu ya Dunia nzima kuwa Mungu ni mkuu juu ya yote.

Wakati Mapadri na mashehe wanaogopa kusalisha wakiogopa corona, kiongozi wa Nchi alitoka na kuwambia waingie makanisani kuomba.

Yajayo yanatisha, Mungu yuaja Kwa HUKUMU juu ya KANISA.

Tuendelee kuomba TOBA.
 
Magufuli ndo RAIS pekee akiyekiri hadharani juu ya Dunia nzima kuwa Mungu ni mkuu juu ya yote.

Wakati Mapadri na mashehe wanaogopa kusalisha wakiogopa corona, kiongozi wa Nchi alitoka na kuwambia waingie makanisani kuomba.

Yajayo yanatisha, Mungu yuaja Kwa HUKUMU juu ya KANISA.

Tuendelee kuomba TOBA.
Yule mzee MUNGU ndie anajua umuhimu wake juu ya hili taifa. Mzee alikuwa ana huruma iliyojificha ndani sana ya nafsi yake ila watu wabaya wanamchafua kila uchao.
 
Back
Top Bottom