Haha, hata Shonza na Mwampamba walisema hivohivo, ila hela ikawageuza. Miye sisemi bana, nataka hela miye.
Eee MUNGU natamka na ninaisoma msg hii kimoyomoyo nawe MUNGU ukiwa shahidi kwamba kuanzia (leo)siko CCM,tena Sitorudi CCM wala kuipigia KURA na endapo nitaipigia basi MUNGU hapo ktk chumba cha kupigia kura ama popote uchukue uhai wangu ili niwe mtu wa motoni daima
Nitaichagua CHADEMA ,Nitaipenda na kuitumikia milele daima.
sasa ole wako uichague CCM umeshakula kiapo cha UAMINIFU.
watumie wanachama wenzako 10 au zaidi.
Mkuu hapo kwenye red utakuwa umechapia, anaitwa Juliana wa Kufyonzwa.

Wakinge uwapendao na CCM, Vunja ukimya zungumuza nao kuhusu CHADEMA, okoa taifa lako linaangamia kwa ufisadi na saratani ya Rushwa, Badili mfumo saizi tupo kwenye M4C,ukishikwa shikamana wape support makamanda wa CHADEMA na wanaharakati wa mageuzi. Eneza ujumbe huu kwa wazalendo na wapenda mabadiliko nchini. Na mwisho tuseme Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA na makamanda wake.