Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,188
- 1,604
Ni kweli au ni ya kikombe cha babu? Ni hakika, au ni ya waliotelekeza watoto? Ni sawa, au ni ya kututoa kwenye ya msingi?
Kama ni kweli, na ni hakika, na ni sawa. Mimi napendekeza lianze zoezi makini kama lile la kupima samaki kwa lula.
Si kwa wanaotajwa pekee, bali iwe ni kwa kila mtanzania.
Kila mchukia maovu ukiwemo ushoga alazimishwe kuhakikiwa upya. Zoezi lisimamiwe kwa haki na kweli.
Kuanzia kwa wasioheshimika mpaka kwa waheshimiwa sana. Hata hivyo wao ndiyo wenye wajibu wa kuhakikiwa kwanza ili kulichangamsha zoezi zima.
Hima jamani, wote tuhakikiwe kama tuna halali au haramu.
Ikitokea limekubaliwa, wahakikiwa wasubiri vipimo ili waondoke na majibu yao.
Ni ushauri tu.