BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,488
- 14,066
Mara baada ya uchaguzi haya ndio yatakayo tokea, na wakati ukifika nitapandisha huu uzi tuombe uzima.
1. Raia wataielewa sana NO reform ya CDM kwa sababu wanasiasa watakuwa wameisha wasahau na wako busy kurudisha pesa walizo tumia kwenye kampeni. KWa sasa wanasiasa wanasalimia hadi watoto wachanga, hawatumii tenda magari ya tinted, ila ngoja uchaguzi uishe sasa.
2. Kila matatizo yatakapo kuwa yanatokea ikiwemo kodi mpya, tozo, ufisadi na mambo mengine watu sasa watakuwa wanaikumbuka No reform ya CDM. Baada ya uchaguzi tarajia hata wamachinga kuanza kufurumiswa mijini na hapo wataanza kuielewa no reform ya CDM na kila tatizo au uonevu wowote ule wajinga watakumbuka No reform no election.
3. ACT wazalendo watatashikana sana uchawi na wataanza kulaumiana kwa kuingizana chaka, na hapo yule mkuu wao wa Chama wa sasa atakuwa kalamba teuzi na anakula bata.
4.Wataanza kuelewa kwamba tatizo la nchi hii kumbe sio upungugu wa wabunge wazuri bali ni mfumo wa CCM ndio tatizo.
5. Wajomba wa Oman watakamata maeneo kisawa sawa kwa sasa wameambiwa wapige stop kwanza hadi uchaguzi upite.
Kwa sasa wanao ielewa hii NRNE ni wale tu wenye akili, ila wengine wataelewa after election kwa kutokupenda au kupenda na wakihubiriwa wakati huo watalewa sana hii slogani kwa sasa hawawezi elewa kitu.