englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Bora kupendwa kuliko kupenda.
Mkuu kupendwa na usiyempenda nayo ni kero kuu!!!!
nadhani huyo hayajawahi mkuta..... ni majangaMkuu kupendwa na usiyempenda nayo ni kero kuu!!!!
Sasa omba pesa zikupende,utaona raha,manake utapendwa hata kama hupendeki,utapendeka tuu.