Haya ya Arumeru sasa kiboko

MATATIZO SABA

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
8
Reaction score
4
Jamani nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muendelezo wa vipindi vinavyo rushwa na MLIMANI TV kila siku saa 3. kuhusu jimbo la arumeru jamani jamani Jamani kweli watanzania Wenzetu wanaishi maisha magumu kiasi hiki maji hakuna vyura hospitali mmmm. Tanzania hii hii.
 
maaskofu na wachungaji wameshakunja chao,kuna nini tena?
 
usishangae mkuu kuna watu wanaishi mita chache kutoka ikulu lakini wana matatizo zaidi ya hayo uyaonayo arumeru.hii ndo tz bana ishauzwa siku nyingi sana kwa muwekezaji mmoja wa msoga.
 
Majibu ya kubetweka kwao ni tarehe moja.
 
Majibu ya kubetweka kwao ni tarehe moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…