Haya weekend ndio hiooo imeanza, tupe location

Kwasababu hubby anaangalia inalazimika niangalie nimpe kampani [emoji28][emoji28][emoji28]anavyoenjoy sasa mpaka utamuonea wivu ....
Ukute we ulitaka kuangalia mitamthilia yenu ya kituruki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi nakomaa na box hapa kwa malkia,sherehe naanza kesho Mungu akipenda,maisha ndio haya haya tu,sema hizi restriction za Covid ndio zinaharibu kila kitu aisee.
Komaa mkuu maana hamna namna ila usile bata ukawasahau home

Ukirudi huku hatutaki stori tunataka tuone tangible things and assets hapa bongo sio mi vyeti
 
Sawa mkuu lima tu
 
Ndani baridi, nimetoka nje naota jua mithili ya kenge / mjusi.
[emoji3072][emoji3073][emoji1656][emoji216][emoji217][emoji217] reptiles
Mbeya sio poa kabisa

Unaotaje jua na kuna mautamu yapo kila mahali[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji85][emoji85]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…