Bila shaka wewe mtoa mada ni msikilizaji mzuri wa DW na BBC maana maneno kama kulipanda jukwaa huwa nalisikia sana DW.Mraibu hahahaa umetisha sana.Kipindi cha Mambomambo RFA
Na wale vijana machachari kibuyu na kidudeKipindi cha twende na wakati igizo nlikuw sikosi RTD,kilikuw kikizungumzia vijana ,pamoja na changamoto wanazokutana nazo.hasa Magonjwa ya zinaa,madawa ya kulevya ,ulevi wa kupindukia ,kwa kweli Akina Tunu nakumbuka mbali sana
Ilikuw good Sana ,hasa ka Melody na wimbo kabla ya igizo.heli niwe peke yangu.......hell niwe nasubira ........hell niwe na mmoja ....ukimwi watisha /waniua us kipenzi ,waniua ua mamaee ×2 maneno yako matamu waniua ua ...***** waniua ua kipenzi waniuauaNa wale vijana machachari kibuyu na kidude
Bi mwenda rtdMama na mwana
Apumzike kwa amaniBen kiko reporter wa majira toka Tabora RTD
RTD mazungumzo baada ya habari ,mtangazaji- Berni Kiko kama sijakoseaRTD Pwagu na pwaguzi..
RTD malenga wetu..
RTD Mazungumzo baada ya habari.
RTD mahoka.
RTD Club raha Leo show.
RTD Kumekucha.
RTD shambani.
RTD Mchana mwema.
Haha unamkumbuka Tila? Tunu je? Na yule mume wao alikuwa anaitwa nani vile?Kipindi cha twende na wakati igizo nlikuw sikosi RTD,kilikuw kikizungumzia vijana ,pamoja na changamoto wanazokutana nazo.hasa Magonjwa ya zinaa,madawa ya kulevya ,ulevi wa kupindukia ,kwa kweli Akina Tunu nakumbuka mbali sana