Tulia na DS yako hio 😀😀😀Apana D bado iko on fire ile mbaya mkuu sema daah design no E imewahi sana aisee
Wazee wa D wamepaniki na chuma yng hapa DE ngoja nisikilizoe upepo kwanza....Tulia na DS yako hio [emoji3][emoji3][emoji3]
Subiri ikifika EAF ukasajili, namba tamu sanaWazee wa D wamepaniki na chuma yng hapa DE ngoja nisikilizoe upepo kwanza....
Naona EAA ipo 300+
Sio EAC 😅Subiri ikifika EAF ukasajili, namba tamu sana
East African CommunitySio EAC 😅
Aliyesema watu wananunua number plates ni nani mkuu mbona povuuu chief shida iko wapi ndugu
Siku utayotaka kuuza gari yako ukafika kwa madalali watakavyoiua hio gari kisa ni DYZ hutaamini😁😁😁Aliyesema watu wananunua number plates ni nani mkuu mbona povuuu chief shida iko wapi ndugu
Ushamba mzigo.Bado mnanunuaga number plates.
Sasa sisi wazee wa B hali si ndio itakua mbaya sana 😂Siku utayotaka kuuza gari yako ukafika kwa madalali watakavyoiua hio gari kisa ni DYZ hutaamini😁😁😁