Haya wakware nichangamkie au vipi? naomba msaada

Haya wakware nichangamkie au vipi? naomba msaada

kilema

Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
59
Reaction score
0
Hello,
Tue, November 17, 2009 3:39:37 PMFrom: janet G Koneh <janet2_gluck@yahoo.com> Add to Contacts
To:

--------------------------------------------------------------------------------

Greeting to you,
How are you and how is your work? i hope that all is well with you, My name is miss Janet ,i know that you may be suprise how i get your email, i got your email today when i was browsing looking for honest partner,then i feel to drop this few line to you , and i will like you to contact me through my email so that we can know each other and exchange our pictures, and we maybecome partner.

Remember the distance does not matter what matters is the love we share with each other.

i am waiting to hear from you soon.

regards Miss Janet,
 
AH matapeli tu hao hizo mail ishazipata kibao tu wa Nigeria ndo zao hao, hapo atakuja na story ndefuu, mara eti yeye yatima anaishi camp huko Siera leone, baba yake alikuwa waziri Liberia, so kaacha a lot of money bank, so anahitaji mtaji msaada wako aweze kuzipata hizo pesa, mwisho wa yote atakutaka umtumie dola mia au 200 ili akamilishe mambo flani ya kisheria, kumbe hakuna lolote atakutumia hata picha za demu yuko bomba kishenzi kumbe matapeli watupu. Nilishawahi tumia form kwenye yahoo mail yangu eti nimeshinda lotto ya Microsoft ambayo huchezwa kila baada ya miaka 3, ipo chini ya Bill and Melinda gates foundation, nikajaza ile form nikaweka na namba zangu za simu , majina yao yalikuwa ya kizungu tupu, nilituma ile mail baada ya kujaza form, walipojibu sasa eti kwa kuwa pesa ziko bank, eti dola laki moja so inahitaji mwanasheria kuzitoa so cost za mwanasheria mie ndo nitoe dola 250/-, nikawaambia watoe hizo pesa halafu zikitoka wakate juu kwa juu, jamaa walipopata mail wakanitwangia simu, yaani typical Nigerians, accent yao, basi nikamwambia aaah Okoo, so its you, you want to con me with your bullshit mail, jamaa akakata simu hawakurudi tena hahahahahaa
 
Ni kweli kaka Kilema, tena matapeli wakubwa, ukimwomba picha anakutumia unamwona very sex and beaitiful woman, then ndio nakuja na hizo gea kwamba anaishi camp kwa Pastor, miye yamenikuta ila nikashtuka katikati, ukitaka kuamini mwombe tu picha yake then utaona alivyo mrembo kuliko yeyote hapa Bongo.
 
Ma email ya hivyo unaweza kuta huyo ni mwanaume dunia haiaminiki sasa
 
kwanini umeomba msaada kwa wakware tu?[sina uhakika waliojibu kama wote ni wakware...duh kumbe na mimi nishajibu]
 
Hello,
Tue, November 17, 2009 3:39:37 PMFrom: janet G Koneh <janet2_gluck@yahoo.com> Add to Contacts
To:

--------------------------------------------------------------------------------

Greeting to you,
How are you and how is your work? i hope that all is well with you, My name is miss Janet ,i know that you may be suprise how i get your email, i got your email today when i was browsing looking for honest partner,then i feel to drop this few line to you , and i will like you to contact me through my email so that we can know each other and exchange our pictures, and we maybecome partner.

Remember the distance does not matter what matters is the love we share with each other.

i am waiting to hear from you soon.

regards Miss Janet,

Kweli ndo maana watanzania wanatapeliwa kirahisi.....mimi napata haya ma email kila siku na hawa ni wa-nigeria. Wewe kama una muda jibu ma-meseji yake utaona atakutumia mapicha then ataanza kukuuliza details zako za benki ili akutumie hela au kitu kama hicho. Wewe delete tu na usiendelee kuwasiliana naye.
 
Chrispin acha uoga changamkia mchuma huo bahati zinawakosa hivyohivyo,hujui labda binti wa clinton au binti wa king Fahd?
 
Wewe mwandikie mwambie kuwa wewe ni gay, mwenyewe atanywea.
 
anasema ameona adress yako alipo browse kwenye honest patners, kwani wewe ulishaa ply na kuachaga email yako kwenye hizo anga? kama ndio basi ndio anakujibu huyo...kama hapana lala mbele..
 
Back
Top Bottom