Haya wadada kumekucha!!!!! Hata ukibisha!!!

Ee Mungu kikombe hiki kiniepuke bila neno lolote kuongezeka. hapa roho na mwili vyooote viko dhaifu kuliko Le magogoni
 
Maiti zinazotembea duniani siku hizi ni nyingi mno...
 
Huyu namfananisha na dada mmoja ambaye anajitangaza bikra na anasubiri mtu akimuoa ndio ampe hiyo bikira,mpaka sasa keshakimbiwa na wanaume zaidi ya sita na bado anasubiri.
 
Waulize wanaume wanaojiona ni perfect maana wao ndio walengwa. Wa dada unawaonea.
 
Yaani kweli umeamua kuweka huo upuuzi watu wachangie? bora ungeweka picha yako halafu uandike "waiting for the growth of IQ" hapo tungekuelewa

Vipi tena mdau yamekugusa? Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…