mtafiti05 JF-Expert Member Oct 17, 2016 956 593 Jan 23, 2017 #1 Baada ya ukimya wa ktosha kumbe wizara inashughulikia safar ya Dodoma! Ina maana uhakiki tayr au wakfka Dom waanze tena upya?
Baada ya ukimya wa ktosha kumbe wizara inashughulikia safar ya Dodoma! Ina maana uhakiki tayr au wakfka Dom waanze tena upya?
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 37,908 43,821 Jan 23, 2017 #2 Utumishi comes from the word utumwa. Kaa nao mbali
mtafiti05 JF-Expert Member Oct 17, 2016 956 593 Jan 23, 2017 Thread starter #3 Ama kweli, mbwe mbwe nying na wanajinenepeana tu huku vjana wakikarbiwa na msongo mawazo!