Haya sasa wanazuoni...

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: so nyc
 
Mkuu ina maana hapo ni UDOM Chuo kikuu cha kata?:tape:
ndo ivo mkuu,niko chuo cha kata hapa halafu vyoo na mabafu n machafu balaa!yan ukiingia tu unakutana na maji machafu mlangoni!!BIG REZATS NOOOW!
 
sasa udom imeingiaje hapa mkuu?hata uichukie ile ndio havard of East Africa.
 
sasa udom imeingiaje hapa mkuu?hata uichukie ile ndio havard of East Africa.
havard ya nani?acha utani mkuu,km upo huku au km unaweza kutembelea chunguza nilichokwambia halaf useme tena ni havard...
 
we nelly nelly ungechangia huko kweny jukwaa la elimu cyo hapa. eti na wewe upo chuo gani na unambie quality zipi unique ambazo mwanaUDOM hana as an individual na ww unazo au ww ndo wale wa BRN unakalia vijiwe vya majungu na kuwaongelea wenzako badala ya kujenga taifa. mbna kuna colleges, institutes na universities 43 tanzania na huzijadili. shame on u! get bussy fanya yako!
 
kwani hii post mbn haijatupiwa jukwaa la elimu?niko udom na ninachokisema namaanisha,kabla sijakujibu zaidi....una mume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…