Beatrice Kingsley
Senior Member
- Aug 20, 2018
- 102
- 104
sa Ngumi za nini hapo? Na mimi nakuita kukuomba msaada!
ningegeuka kuwa spider man au super man ningepaa zangu fresh nawahi nyumbani
akili yako nzur sanaHiyo ni tano sio ngumi kuauelewasa Ngumi za nini hapo? Na mimi nakuita kukuomba msaada!
Kabisa yan utaimba tenzi za rohon Kwanzia wimbo wa kwanza paka wamwisho hatakama ujawai kuimbaHuo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa



Na hapo ukumbuke beti na mistar vinachanganywa wimbo uleee unaleta huu mara kulee basi tuuKabisa yan utaimba tenzi za rohon Kwanzia wimbo wa kwanza paka wamwisho hatakama ujawai kuimba
Sent using Jamii Forums mobile app



Huo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Mkuu unaonekana muimbaji mzuri sana wa gospelHuo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa
Kwakwel mkuu, nko vzuri
Huo ndo wakati wakuimba mapambio
Shuka bwana shukaaaaaaaaaa
Shuuuuuuuka bwanaaaaaa

KabisaaNa hapo ukumbuke beti na mistar vinachanganywa wimbo uleee unaleta huu mara kulee basi tuu
Ili mradi upate huruma ya mbingu..alafu mwisho unaishiaa
Chakutumaaaaaaaaaini sinaaaaaaaa
Naendeeeeeeea msalabaaaaaa
Nimnyooooonge kipooooooofuuu![]()