Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 335
Asante sana. Ila kama kuna mtu unamjua hajaolewa na ana hizo sifa usisahau kumwambia.Kila la kheri, upate hitaji la moyo wako
Distance relationship.Sababu zilizokufanya ukatendwa hapo awali umezifanyia kazi?
Sawa ngoja nitakuangalizia huku mitaa ya kwetuAsante sana. Ila kama kuna mtu unamjua hajaolewa na ana hizo sifa usisahau kumwambia.
Kaka usiombe ukawa singo ukajikuta kwenye hii hal ya upweke. Unafanya kuchungulia kila baada ya saa 1Si mchezo sipati picha unavyorefresh pm
Mkuuu kote nimekuelewa na ninakuombea wakusome, ila kwenye kigezo cha maumbile hasa unene, Nilitaka nikupe Dadangu ila hofu yangu ni je akinenepa itakuwaje?Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi)
Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi wala ndoa.
Ila sasa upweke unaninyong'onyeza sana. Jamani wadau mi nahitaji mwenzi. La sivyo naweza nikafa na huu upweke maana sikujua kama yatanifika shingoni namna hii. Of course nnapoishi kuna watu lakini mpenzi nae ana nafasi yake.
Wewe dada unaesoma ujumbe huu una nafasi nzuri sana ya kuwa mwenzi wangu na kuniondolea upweke. Na nakuahidi utaridhika sana ukiwa na mie maana UAMINIFU ndo sifa yangu kubwa.
+Kama wewe ni mwaminifu kama mie.
+Una umri wa 18 - 28.
+Mkazi wa Dar. (Mimi nipo Dar)
+Dini yoyote
+Elimu angalau hata ya form four tu.
Basi njoo DM tuzungumze zaidi.
Wanawake wafupi sana na wanene sana mnisamehe.
Ni mimi,
D.A
Daniel Adrian.
Ndugu acha utani basi...!Nimekucheki fb Mbona umeoa?
Unaniruhusu niweke picha yako hapa?Utani huu aisee...!
Gym si zipo au ?Mkuuu kote nimekuelewa na ninakuombea wakusome, ila kwenye kigezo cha maumbile hasa unene, Nilitaka nikupe Dadangu ila hofu yangu ni je akinenepa itakuwaje?
Daniel Adrian tupo wengi.Unaniruhusu niweke picha yako hapa?