Tecno boom
Kuna case nyingi humu ndani za matangazo na app kujidownload na hizo case zinatoka kwa watu wengi wenye tecno au huawei. Hypothesis nilioitengeneza ni either
1. Hizo app mnazodownload zina exploit something na kuwa kama system app ndio maana ukiformat hakitoki
2. Ni adware ambae kaekwa makusudi na tecno/huawei ndio maana ukiformat hatoki.
Solution so far ambao wamefanikiwa kutoa matangazo ni kwa kuroot na kutoa app wasizozielewa.

Mkuu nami nilidownload aplcation from unkown source.. Sasa balaa lililonikuta ni hiki kitu kinaitwa "MonkeyTest" inanisumbua sana.. Nimefatilia nikaona ina uhusiano na "timeservice" ambacho kipo katika downloaded apps.. sasa kila nikiifuta hiyo timeservice inarudi.. Tiba ya hilo tatizo ni nini Mkuu?
Natanguliza Shukrani.
Thread hii hapa walisolve hio issue
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/909696-matangazo-kwenye-simu-huawei-p6.html

Unatumia simu gani mkwe?Tupa ki tecno hicho.
Muda wako na wa wenzako unaoutumia kukisafisha ni bora ununuwe simu ya maana mpya.
Cheap is expensive.
mie kwangu lipo tatizo la data na wifi kujiwasha zenyewe msaada Chief-Mkwawa