Haya ni mapenzi?

Mna mda gan kwenye ndoa yenu hio? Je mna watoto tayari?

Kwa njins ulivyo elezea inaonyesha ndoa yenu bado changa mno sio mda wa kutosha kusema kuwa anaweza kubadirika.

Ila jipe moyo muombe sana Mungu na mfundishe na yy kushiriki kuomba nae (kufanya nae ibada) ndan kwenu ata adirika kwel na wazaz watampokea
 
Muoneni huyu..๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…unasemaje J...??

Hivi mshahara haujaingia bado
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Huo ndiyo ukweli. Ukiwa na pesa wazazi hawawezi kumkataa mkwe hata siku moja. Tatizo linakuja pale ambapo huna kitu mbona utaisoma namba.
 
Mambo bado we ngoja siku awe mwiba kwny life lako utakumbuka sana simu ya mama ako
 
Nimeishia pale uliposema ukalia sana,
Hasara nyingine hii kwa wazazi
 
Bro kwanza kabisa nikupongeze kwa kumbadirisha mwanamke unahitaji tuzo inavyoonekana mpaka kakubali kubadirika mnaendana sana usimwache huyo.
 
Vitajisort tu with time.
Unampenda ,amekubali kubadilika.
Ulistood up for your love
Mengine yanakaaga tu sawa.

Hata waliokubalika na Wazazi sio kuwa ndo wana maisha ya amani na Wazazi hao.
Ishi na mkeo kwa amani na upendo.
 
Hiyo inaitwa "Romeo and Julieth effect"
(Ni lile penzi lililo shamiri baada ya wazazi kutokubaliana Nalo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ