Hahahahaaaa mkuu acha masihara.Makristo hayo mkuu
Makristo hayo mkuu
Ndio yamechimbwa sehemu moja.Huu uzi naona kuna mtu anatafutwa,
Naomba kuikiza hayo mawe yote yamechimbwa sehemu/eneo moja?
Hatari sana hiiNdio yamechimbwa sehemu moja.
Toa majibu mkuu, nipe majina yake pamoja na soko lake kwa ujumla kama una uzoefu nayo.Hatari sana hii
Na hayo kama ya Purple pia umeyachimba shimo hilohilo?Toa majibu mkuu, nipe majina yake pamoja na soko lake kwa ujumla kama una uzoefu nayo.
Hapana hayo shimo tofauti.Na hayo kama ya Purple pia umeyachimba shimo hilohilo?
Hapana hayo shimo tofauti.
Nmeona Topaz ambayo ni nyeupe na njano na Blue sapphire. Kama uko mikoa ya Kusini njoo PM nikuunge na wadau au wanunuz!!!!Wiki kama tatu zimepita nimewahi kuuliza kuhusiana na picha za mawe nilizoziweka hapa wengi walishauri niendelee kuhimiza vijana wachimbe zaidi ili kupata madini mengine, hivyo nami nilifanya kama nilivyopewa maelekezo, Leo nimekuja tena mniambie haya mawe ni madini gani na bei yake iko vipi sokoni?, karibuni.View attachment 639245View attachment 639246View attachment 639247View attachment 639248View attachment 639249View attachment 639250View attachment 639251View attachment 639252View attachment 639253View attachment 639254View attachment 639255View attachment 639256View attachment 639257View attachment 639258
Toa majibu mkuu, nipe majina yake pamoja na soko lake kwa ujumla kama una uzoefu nayo.