Haya ni madini aina gani?

Thaman yake ni bei gan

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu bei yake hasa ila kiujumla hayana thamani. Zipo aina nyingine za quartz zenye thamani ambazo ni rose quartz, amethyst, bluish quartz.

Faida kubwa ya hio mineral katika picha ni katika kufanyika kwa mchanga ambao umuhimu wake kila mtu anafahamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…