Haya ni madini aina gani?

Hio ni Quartz mkuu ila low quality. Hayo hayauziki labda ungepata yenye quality nzuri japo pia hayana thamani
 
Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh teeeh .
Ugumu wa maisha ni jambo baya sana maishani.

Hayo ni madini ya mawe ya kupondaponda kokote.
 
Umepiga lyalamo primary? Wale Watoto wanapiga msuli, wanaenda prepo hadi saa nne
yap!nimepiga pale mkuu,shule nzuri niliifurahia sana.majirani zetu Tosamaganga sec,ratiba ya pale si mchezo
 
Mbona hayana mvuto?
Kuna madini mengine hayaana mvuto kwa kuyaona lakini kwa watu wazoefu kama sisi utayajuaa,iila ni baadhi ya mawe mfano kama haya yanaitwa hazonite yanatoka msumbiji Kuna aina mbili ya rangi ya coca n'a fanta
Ili uyaweke ktk ubora uyauze Lazima uyafanyie cobbing
Haya hapa chini

Ova
 

Attachments

  • IMAG0625.jpg
    300.5 KB · Views: 38
 
Hilo jiwe linaitwa quartz,ila zpo quartz crystal na nyingine ni zile quartz kutoka kwenye vein yaan zinaitwa quartz veins mara nyng hubeba dhahabu ...kwa hilo sjaona vizuri muundo wa quartz crystal..yaawezekana ni milky quartz kutoka kwenye vein...na hayana thaman labda tu yawe na dhahabu ndani yake
 
Hayana mvuto kwasababu sio madini ni aina za kokoto zipo sana Tosamanganga Kule.
Wataalamu wa jiolojia watakwambia mawe yote hutengenezwa kutokana na madini. Kokoto au "rock aggregates" ni madini ya ujenzi.
Thamani anayoizungumzia mwandishi ni ya vito. Ni kweli haya mawe hayana thamani kama vito lakini bado ni madini. Yanaweza kuwa ni quartz au feldspars. Kuna aina ya quartz iitwayo amethyst ambayo huwa vito " gem quality" lakini siyo kila aina na quartz ni vito.
 
Uko sahihi na umetoa maelezo mazuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…