Haya ndo mapenzi ya Mjini

Joined
Jun 28, 2015
Posts
28
Reaction score
1
Wanajamvi naja tena,

Hii ndo imekua fasheni ya mapenzi ya Mjini kwa wale wanao jua wata ungana na mimi, ipo ivi" kama huna hela wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji " upo apoo?
 
Albiazizy mbona hiyo olden sana imeshapitwa na wakati sasa hivi kama mapenzi ni maua mpelekee nyuki na kama mapenzi ni kiuno peleka twanga pesa ndiyo visa ya kufanya chochote kile
 
Wacha kutisha watu bana wapo wenye real love still...
 
Sikuhizi maneno tu inaelekea wee ni domo zege a.k.a Timbulo km huwezi kumwaga Sera hadharani chukua namba ya Simu tu umemaliza kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…