Haya ndo majukumu ya Israel na Marekani kwenye vita dhidi ya Iran

Haya ndo majukumu ya Israel na Marekani kwenye vita dhidi ya Iran

Champion_Boy

Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
40
Reaction score
111
New York Times inaripoti kuwa Israel itajikita kulenga “maghala ya makombora ya Iran, vituo vya uzalishaji na launchers,”

Huku Marekani ikitarajiwa kulenga “mradi wa nyuklia wa Iran na malengo mengine yanayohusiana na kikosi chenye nguvu cha Islamic Revolutionary Guard Corps pamoja na serikali.”
 
Back
Top Bottom