Asante sana kwa kutupa ufahamu huu mzuri sana kuhusiana na wachagga.
Asante sana kwa kutupa ufahamu huu mzuri sana kuhusiana na wachagga.
waigizaji bongo wanashindwa kutumia fursa,story kama hii ni tamu sana
kama Turkey wanatumia historia yao vizuri kama sultani{hii inaelezea utawala wa himaya ya Ottoman} kuna ertugrul{hii inaelezea chimbuko la himaya ya ottoman}.kazi kuigiza jini amevaa barakoa tu
Embu kuwa serious wewe.Wizi wa hela umeuweka kwenye story?
Poapoa itakuwa Jena kabisaKitabu chake nakitafuta
Magari yanoyotoka huko ulikokutaja ni mengi ndugu nimeyaonaKila mwisho wa mwaka unapofika huwa unatokea mrundikano mkubwa sana wa abiria pale stand ya Ubungo, na abiria wote hao huwa wanaelekea Moshi na Arusha.
Mfano mwaka huu Treni, mabasi na ndege za kutoka Dar kuelekea Moshi zimejaa.! Kwa nini wachaga wamerundikana Dar tu?
Mbona hatusikii magari kutoka Mwanza kwenda Moshi kujaa? Mbona hatusikii magari kutoka Nairobi au Kampala kwenda Moshi kujaa??
Wazaramo itabidi muwachunguze vizuri hawa wachaga.
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app